Posts

Showing posts from October, 2018

MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU VITICAN.

Image
1. Ni nchi kamili yenye mamlaka kamili. Ina mfumo wake wa posta, fedha na ulinzi. 2. Iko ndani ya mji wa Roma kwenye nchi ya Itali. 3. Utawala wa Vatican ni wa kidini na mkuu wa nchi ni papa. 4. Vatican imezungukwa na ukuta. 5. Ni nchi yenye watu wachache zaidi duniani                                                       HUU NI MJI MKUU WA VITICAN