MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU VITICAN.

1. Ni nchi kamili yenye mamlaka kamili. Ina mfumo wake wa posta, fedha na ulinzi.
2. Iko ndani ya mji wa Roma kwenye nchi ya Itali.
3. Utawala wa Vatican ni wa kidini na mkuu wa nchi ni papa.
4. Vatican imezungukwa na ukuta.
5. Ni nchi yenye watu wachache zaidi duniani


                                                      HUU NI MJI MKUU WA VITICAN

Comments

Popular posts from this blog