HII NI BAADHI YA WASANI KONKI WATAKAO SHAMBULIA STAGE MORORGO WASAFI FESTIVAL TOUR

Mizuka ya #wasafifestival2018 na list ake ya wasanii konki ambao watashambulia ya jamuhuli pande za morogoro tarehe 2 ni pamoja na bell9,dudubaya,linah,gigy money,country boy,cheen bees,afande sele,ice boy,khadija kopa,moni central zone,young killer,niki mbishi,stereo,dullyskys,juma nature,one incredible pamoja na kundi zima la WCB WASAFI

Comments

Popular posts from this blog

MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU VITICAN.